News

WATENDAJI SEKTA YA MAJI WATAKIWA KUACHA ALAMA KWA KULETA MATOKEO

​Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) leo imesaini mkataba wa utendaji kati yake na Wizara ya Maji. Read More

Posted On: Jul 23, 2026

MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI AKAGUA MIRADI YA MAJISAFI NA MAJITAKA

​Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Alhaj Jabir Shekimweri amefanya ziara ya kukagua Mradi wa Majisafi wa Nzuguni awamu ya pili na Mradi wa ukarabati na kubadilisha miundombinu wa Majitaka eneo la Area C na D jijini Dodoma leo Julai 9, 2026. Read More

Posted On: Jul 10, 2026

​DUWASA INASHIRIKI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inashiriki Maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma yaliyoanza tarehe 16 Juni, 2026. Read More

Posted On: Jun 17, 2026

​WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAJI - WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ametembelea Banda la Wizara ya Maji na Taasisi zake kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi Umma, 2026. Read More

Posted On: Jun 17, 2026

​CCM DODOMA YAIPONGEZA DUWASA KWA MAPINDUZI YA MAJI, YALENGA ASILIMIA 100 IFIKAPO 2030

​Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kwa kasi kubwa na ufanisi katika utekelezaji wa miradi ya maji, hatua inayotajwa kuwatoa wananchi wengi katika kero ya muda mrefu ya uhaba wa maji. Read More

Posted On: Jun 12, 2026

​WANANCHI BUIGIRI WAPOKEA KWA FURAHA MRADI WA UONDOSHAJI NA KUTIBU MAJITAKA MAGUFULI CITY

Wananchi wa Kijiji cha Buigiri, Kitongoji cha Chang’ombe Wilayani Chamwino, wameupokea kwa furaha Mradi wa Uondoshaji na Kutibu Majitaka wa Magufuli City unaotarajiwa kuanza kutekelezwa Juni 15, 2026 chini ya Mkandarasi BCEG kutoka China na Mshauri wa Mradi NOPLAN LIMITED. Read More

Posted On: Jun 12, 2026